Ivan Alekseyevich Bunin

(Elekezwa kutoka Ivan Bunin)

Ivan Alekseyevich Bunin (22 Oktoba 18708 Novemba 1953) alikuwa mwandishi kutoka nchi ya Urusi. Mwaka wa 1920 alihamia Ufaransa. Hasa aliandika riwaya na mashairi. Mwaka wa 1933 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fasihi.

Ivan Bunin


Makala hii kuhusu mwandishi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Ivan Alekseyevich Bunin kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.