Iwalewa

Filamu ya Nigeria mwaka 2006

Iwalewa ni filamu ya mwaka 2006 ya nchini Nigeria iliyotayarishwa na Khabirat Kafidipe na dada yake Aishat Kafidipe, na kuongozwa na Tunde Olaoye. Walioang'arisha filamu hiyo ni Remi Abiola na Femi Branch.[1][2]

Ploti kwa Ufupi hariri

Filamu inaelezea maisha ya msichana mdogo Iwalewa, anayepoteza wazazi wake wawili katika umri mdogo na kupata tabu na maisha magumu kama mtoto yatima.[3]

Wahusika hariri

Tuzo hariri

Filamu iliteuliwa kushindania tuzo mata tatu, lakini ilijishindia tuzo mara mbili 3rd Africa Movie Academy Awards mnamo tarehe 10 march 2007 tuzo zilofanyika katika Gloryland Cultural Center katika jiji la Yenagoa, Bayelsa State,Nigeria.[4] Khbirat Kafidipe's lead role in the film earned her the Africa Movie Academy Awards of Best Actress in a Leading Role.[5]

Marejeo hariri

  1. 'I've never been in love nor had a crush on any one'. The Nation Newspaper. Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-04-11. Iliwekwa mnamo 5 April 2015.
  2. SEGUN ADEBAYO. I have a ministry, but Im not a pastor -Femi Branch - nigeriafilms.com. nigeriafilms.com. Jalada kutoka ya awali juu ya 2015-04-18. Iliwekwa mnamo 2020-03-31.
  3. Ìwàlẹwà : intuition and desperation.. worldcat.org.
  4. Coker, Onikepo. "Africa Celebrates Film Industry at AMAA 2007", Mshale Newspaper, Minneapolis, USA: Mshale Communications, 4 May 2007. Retrieved on 5 April 2015. Archived from the original on 3 March 2012. 
  5. AMAA Awards and Nominees 2007. African Movie Academy Award. Jalada kutoka ya awali juu ya 12 October 2010. Iliwekwa mnamo 5 April 2015.
  Makala hii kuhusu filamu fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Iwalewa kama waigizaji wake, hadithi au matoleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.