Jermaine Lamarr Cole[1] (amezaliwa Januari 28, 1985) ni rapa na mtayarishaji wa rekodi wa Marekani.

Cole akitumbwiza mnamo 2023

Alizaliwa katika kambi ya kijeshi nchini Ujerumani na kukulia huko Fayetteville, North Carolina[2], Cole alipata umaarufu kama mwimbaji baada ya kutoa mixtape yake ya kwanza, The Come Up, mwaka wa 2007. Akiwa na nia ya kutafuta zaidi taaluma ya muziki, alisaini na Jay-Z's Roc Nation mnamo 2009 na akatoa nyimbo mbili za nyongeza: The Warm Up (2009) na Friday Night Lights (2010) ili kutuka kujulikana zaidi huku akipata mashabiki wengi zaidi.

Marejeo

hariri
  1. "J. Cole". ROC NATION (kwa American English). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-08-05. Iliwekwa mnamo 2024-07-13.
  2. Dee Lockett (2018-09-27). "J. Cole Speaks Out On Cancel Culture, The Trouble With Fame and Schooling Young Rappers". Billboard (kwa American English). Iliwekwa mnamo 2024-07-13.