Martins Okechukwu Justice (amezaliwa mnamo Septemba 29, mwaka 1977), anajulikana sana kwa jina lake la kisanii J. Martins, ni mwanamuziki wa Nigeria, mwimbaji, mtunzi wa nyimbo na mtayarishaji wa muziki. Anafahamika zaidi kwa wimbo wake wa Oyoyo, Jupa na Good Or Bad.[1][2][3][4][5][6] J. Martins pia anajulikana kwenye wimbo alioshirikishwa na P-Square wimbo wa E No Easy. Pia amewashirikisha Phyno, YCEE, Fally Ipupa, DJ Arafat, Koffi Olomide, Timaya.[7][8][9][10][11]

Maisha ya awali

hariri

J. Martins alizaliwa Onitsha, Jimbo la Anambra, Nigeria, na familia yake ipo katika mji wa Ohafia, Jimbo la Abia.[12]

Diskografia

hariri
  • Get Serious (wa mwaka 2008)
  • Elevated (wa mwaka 2009)
  • Selah (wa mwaka 2012)
  • Authenthic (wa mwaka 2016)

Marejeo

hariri
  1. "J Martins to release fourth Album | Premium Times Nigeria". Machi 17, 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "J martins ~ BIOGRAPHY HOME". Iliwekwa mnamo Machi 28, 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. "DOWNLOAD:J.Martins – Ikwusigo?". notjustOk. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-08-08. Iliwekwa mnamo Machi 28, 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  4. "New Music: J. Martins – Ikwusigo?". BellaNaija. Januari 11, 2016. Iliwekwa mnamo Machi 28, 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  5. "Wizkid Blasts J-Martins Over Broke Comment". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Aprili 8, 2016. Iliwekwa mnamo Machi 28, 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  6. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2016-05-31. Iliwekwa mnamo 2022-05-07.
  7. The Chef. "MUSIC: J. Martins ft. Phyno & Ycee – Ten Ten". 360Nobs.com. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-12-16. Iliwekwa mnamo Machi 28, 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  8. "J Martins set to release new album". The Nation Nigeria. Machi 17, 2016. Iliwekwa mnamo Machi 28, 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  9. Abiola Solanke (Machi 21, 2016). "J Martins: Singer releases 4th studio album Authentic". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2018-06-16. Iliwekwa mnamo Machi 28, 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  10. Adedayo Showemimo. "J Martins To Drop 4th Album 'Authentic' On March 21 – Nigerian Entertainment Today – Nigeria's Number 1 Entertainment Daily". Nigerian Entertainment Today – Nigeria's Number 1 Entertainment Daily. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2017-05-10. Iliwekwa mnamo Machi 28, 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  11. NEWSWATCH TIMES. "J Martins to drop fourth album". Newswatch Times. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo Machi 29, 2016. Iliwekwa mnamo Machi 28, 2016. {{cite web}}: More than one of |archivedate= na |archive-date= specified (help); More than one of |archiveurl= na |archive-url= specified (help)CS1 maint: date auto-translated (link)
  12. "Nigerian Artist J Martins Biography, Profile, Music & Life History – Nollywood, Nigeria, News, Celebrity, Gists, Gossips, Entertainment". Iliwekwa mnamo Machi 28, 2016.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)