Jacques Moïse Eugène Noyer (17 Aprili 1927 - 2 Juni 2020) alikuwa askofu wa Kanisa Katoliki la Ufaransa. [1] Alihudumu kama Askofu wa Amiens kuanzia tarehe 31 Oktoba 1987 hadi tarehe 10 Machi 2003. [1]

Marejeo

hariri
  1. "Monseigneur Jacques Noyer, ancien évêque d'Amiens, est mort" (kwa Kifaransa). France 3 Hauts-de-France. 2 Juni 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.