James Phillipo Musalika


James Phillipo Musalika (amezaliwa tar. 24 Septemba 1957) ni mbunge wa jimbo la Nyang'hwale katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

James Phillipo Musalika
Bunge la Tanzania
Jimbo la uchaguzi Nyang’hwale
Tarehe ya kuzaliwa 24 Septemba 1957
Mahali pa kuzaliwa Busolwa, Nyang’hwale.
Chama CCM
Tar. ya kuingia bunge 1999
Aliondoka 2010
Dini Mkatoliki
Digrii anazoshika shahada ya kilimo

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu James Phillipo Musalika". 19 Julai 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-20. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.