Ingushetia (Kirusi: Ингушетия) ni jina la kutaja mkoa ulioko nchini Russia. Mji mkuu wake ni Magas. Mji mkubwa wake ni Nazran.

Sehemu ya mkoa wa Ingushetia
Mahali pa Ingushetia Russia

Tazama pia hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Urusi bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Ingushetia kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.