Janis Gold ni jina la kutaja muhusika wa mfululizo wa televisheni wa Kimarekani wa 24. Uhusika unachezwa na Janeane Garofalo. Muhusika kacheza kama kachero wa FBI, na ameanza kuonekana katika msimu wa 7 wa mfululizo huu.

Janis Gold

Janeane Garofalo kama Janis Gold
Imechezwa na Janeane Garofalo
Msimu
7
Maelezo

Viungo vya Nje hariri