Jann Aldredge-Clanton

Mhudumu wa Kikristo wa Kimarekani

Jann Aldredge-Clanton (alizaliwa Texas, nchini Marekani, 1946 [1]) ni mwandishi, mwalimu, na kasisi wa Kikristo, anayeongoza makongamano kote nchini Marekani.

Ameandika vitabu tisa, vitabu vitatu vya nyimbo za muziki wa watoto.[2]

Pia amechapisha makala nyingi katika machapisho mbalimbali kama vile Christian Feminism Today, The Journal of Pastoral Care.

Marejeo

hariri
  1. http://digitalcollections.baylor.edu/cdm/ref/collection/buioh/id/2646 Oral Memoirs of Jann Aldredge-Clanton, Baylor University Institute for Oral History; also see Breaking Free: The Story of a Feminist Baptist Minister Eakin Press, 2002
  2. "Books by Rev. Jann Aldredge-Clanton, PhD - SkyLight Paths Publishing".
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jann Aldredge-Clanton kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.