Jaribio la χ²
Jaribio la χ² (kwa Kiingereza: χ² test) ni jaribio la takwimu ambalo linaweza kujaribu upweke kati ya uwiano mbili.
Jaribio la χ² linatamkwa: Jaribio la kipeo cha pili.
Linapatwa kwa hesabu kama Jaribio la χ² la Pearson.
Kwa programu ya takwimu R
haririIli utafute Jaribio la χ² la Pearson kwa lugha ya programu ya takwimu R uandike:
> chisq.test(SampuliYangu)
Marejeo
hariri- Saleh, A. M. E., & Ehsanes, M. (2001). An introduction to probability and statistics. Wiley.
- Peck, R., Olsen, C., & Devore, J. L. (2015). Introduction to statistics and data analysis. Cengage Learning