Jean-Jacques Purusi Sadiki

Jean-Jacques Purusi Sadiki (alizaliwa Lwiro, Desemba 5, 1964) ni profesa wa vyuo vikuu na mwanasiasa wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Amekuwa Gavana wa Mkoa wa Kivu Kusini tangu 02 Mei 2024.

Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jean-Jacques Purusi Sadiki kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.