Jeanne Gapiya-Niyonzima

mwanaharakati wa haki za binadamu


Jeanne Gapiya-Niyonzima (aliyezaliwa 12 Julai 1963, mjini Bujumbura) ni mwanaharakati wa haki za binadamu kutoka Burundi. Yeye ni mwenyekiti na mwanzilishi wa Chama cha Kitaifa cha Kusaidia Watu Wenye VVU(ANSS) na alikuwa mtu wa kwanza kutoka nchini humo kukiri hadharani kuwa ana VVU.[1] [2]

Jeanne Gapiya-Niyonzima
Alizaliwa 12 Julai 1963 uko bujumbura
Nchi Burundi
Kazi yake Mwanaharakati

Marejeo hariri

  1. Welle (www.dw.com), Deutsche, "Avant d'être infectés, nous sommes des hommes, nous sommes des femmes." | DW | 02.12.2019 (in French), retrieved 2020-02-05
  2. Jacques, Francois (2016-03-10). "« J'ai refusé que l'on condamne mon bébé qui venait de mourir »". Coalition PLUS (in French). Retrieved 2020-02-04.
  1. "Nakala iliyohifadhiwa". Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-04-09. Iliwekwa mnamo 2022-04-09. 
  2. http://www.coalitionplus.org/jai-refuse-que-lon-condamne-mon-bebe-qui-venait-de-mourir/