Katika hisabati, jedwali (kwa Kiingereza: table au database) ni mkusanyo wa data katika hifadhidata. Jedwali lina nguzo na safu.

Jedwali la elementi.
Mfano wa jedwali la takwimu.

Marejeo hariri

  • Kahigi, K. K. (2007). Ujanibishaji wa Office 2003 na Windows XP kwa Kiswahili Sanifu. Kioo cha Lugha, 5(1)