Jeff Oster
Jeff Oster ni mwanamuziki wa Kimarekani aliyeteuliwa kwa Tuzo za Grammy, anayejulikana kwa ustadi wake wa kupiga tarumbeta na flugelhorn katika aina ya muziki wa New Age. Pia, ni mshiriki wa bendi ya watu wanne iitwayo Flow.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "2022 Grammy Awards: Complete Nominations List". grammy.com (kwa Kiingereza). 2021-11-23. Iliwekwa mnamo 2021-11-26.
Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jeff Oster kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |