Jenni Williams
'
Jenni Williams | |
---|---|
Jenni Williams | |
Amezaliwa | 1962 Zimbwabwe |
Kazi yake | Mwanaharakati wa haki za binadamu |
Jenni Williams (alizaliwa 1962) ni mwanamke mwanaharakati wa haki za binadamu wa Zimbabwe na mwanzilishi wa Women of Zimbabwe Arise (WOZA). Kama mkosoaji mashuhuri wa serikali ya Rais Robert Mugabe, alielezwa na gazeti la The Guardian mwaka 2009 kama "moja ya miiba yenye kero kubwa kwa Mugabe".[1]
Marejeo
hariri- ↑ Elizabeth Day. "The woman who took on Mugabe", 9 May 2009.
Makala hii kuhusu Haki za binadamu bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Jenni Williams kama historia yake au mahusiano yake na mada nyingine? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia yetu kwa kuihariri na kuiongezea habari. |