Jentrix Shikangwa Milimu

Mchezaji mpira Kenya

Jentrix Shikangwa Milimu amezaliwa 27 novemba 2001, anajulikana kama Jentrix Shikangwa,ni mchezaji wa mpira wa miguu, anacheza nafasi ya mbele Vihiga Queens na timu ya taifa ya wanawake kenya.

Jentrix Shikangwa
Jentrix Shikangwa

Marejeo hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya michezo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu zaidi kuhusu Jentrix Shikangwa Milimu kama historia yake, uenezi au kanuni zake?
Labda unaona katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine habari zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.