Yerusalemu
jiji la Mashariki ya Kati, takatifu kwa dini tatu za Ibrahimu
(Elekezwa kutoka Jerusalem)
Yerusalemu (kwa Kiebrania ירושלים, Yerushalayim; pia: Kudisi kutoka Kiarabu: القدس, al-Quds) ni mji wa Mashariki ya Kati wenye pande mbili. Kwa upande mmoja ni mji mkuu wa Israel. Kwa upande mwingine Yerusalemu ya mashariki inatazamwa kuwa mji mkuu wa Palestina, ingawa imetawaliwa na Israel pia tangu 1967. Israel imetangaza tangu mwaka 1980 Yerusalemu yote kuwa mji wake mkuu wa milele, lakini nchi nyingi za dunia hazikubali azimio hilo, hivyo balozi za nchi za kigeni katika Israel ziko nje ya Yerusalemu.
Yerusalemu | |||
Ukuta wa Maombolezo na Kuba ya Mwamba mjini Yerusalemu | |||
| |||
Jina la Kiebrania | יְרוּשָׁלַיִם (Yerushalayim) | ||
Jina la Kiarabu | القـُدْس (al-quds); rasmi: أورشليم القدس (urshalim-al-quds) | ||
Maana ya Jina | Kiebrania: "Urithi wa amani", Kiarabu: "(Mji) mtakatifu" | ||
Utawala | Mji | ||
Wilaya | |||
Wakazi | 801,000 (Wayahudi 68%, Waislamu 30%, Wakristo 2%) (2011) | ||
Eneo | 126,000 (126 km²) | ||
Meya | Zaki al-Ghul Nir Barkat | ||
Tovuti rasmi | www.jerusalem.muni.il |
Yerusalemu ina historia ndefu sana.
Yerusalemu katika dini
haririNi mji muhimu katika dini tatu zinazofuata imani ya Abrahamu, yaani Uyahudi, Ukristo na Uislamu. Daudi mfalme ndiye aliyeufanya kuwa mji mkuu
- Ukuta wa Maombolezo ni patakatifu pa Wayahudi wanaokwenda kuhiji na kuomboleza kwenye hayo mabaki pekee ya Hekalu la Yerusalemu: ni ukuta uliojengwa na Mfalme Solomoni ili kuzuia vifusi vilivyojaza bonde la mji wa Mfalme Daudi kadiri ya Biblia.
- Kanisa la Kaburi na Ufufuo wa Yesu kama mahali pa ufufuko wa Yesu Kristo ni patakatifu pa Wakristo muhimu kuliko mahali pengine pengi panapotajwa katika Agano Jipya au kuheshimiwa kulingana na matukio ya neema katika historia ya Kanisa.
- Msikiti wa Al-Aqsa pamoja na msikiti wa Kuba ya Mwamba ni mahali patakatifu pa Waislamu palipotajwa katika Qurani; Waislamu huamini ya kwamba hapa ni mahali pa miraji ya Mtume Muhammad.
Marejeo
hariri- Cheshin, Amir S.; Bill Hutman and Avi Melamed (1999). Separate and Unequal: the Inside Story of Israeli Rule in East Jerusalem Harvard University Press ISBN 978-0-674-80136-3
- Cline, Eric (2004) Jerusalem Besieged: From Ancient Canaan to Modern Israel. Ann Arbor: University of Michigan Press ISBN 0-472-11313-5.
- Collins, Larry, and La Pierre, Dominique (1988). O Jerusalem!. New York: Simon and Schuster ISBN 0-671-66241-4
- Gold, Dore (2007) The Fight for Jerusalem: Radical Islam, The West, and the Future of the Holy City. International Publishing Company J-M, Ltd. ISBN 978-1-59698-029-7
- Köchler, Hans (1981) The Legal Aspects of the Palestine Problem with Special Regard to the Question of Jerusalem Vienna: Braumüller ISBN 3-7003-0278-9
- The Holy Cities: Jerusalem produced by Danae Film Production, distributed by HDH Communications; 2006
- Wasserstein, Bernard (2002) Divided Jerusalem: The Struggle for the Holy City New Haven and London: Yale University Press. ISBN 0-300-09730-1
- "Keys to Jerusalem: A Brief Overview", The Royal Islamic Strategic Studies Center, Amman, Jordan, 2010. http://www.rissc.jo/docs/J101-10-10-10.pdf
- Sebag Montefiore, Simon (2011) Jerusalem: The Biography, London: Weidenfeld and Nicolson, ISBN 978-0-297-85265-0
- Young, Robb A (2012) Hezekiah in History and Tradition Brill Global Oriental Hotei Publishing, Netherlands
Viungo vya nje
haririAngalia mengine kuhusu Yerusalemu kwenye miradi mingine ya Wikimedia: | |
Fafanuzi za Kiingereza kutoka Wiktionary | |
picha na media kutoka Commons | |
misaada ya kujisomea kwa Kiingereza kutoka Wikiversity | |
nukuu kutoka Wikiquote | |
matini za ushuhuda na vyanzo kutoka Wikisource | |
vitabu kutoka Wikibooks |
- Official website of Jerusalem Municipality
- Jerusalemp3 Archived 1 Agosti 2015 at the Wayback Machine., offers free virtual tours in mp3 format from the Jerusalem Municipality
- Yerusalemu katika Open Directory Project
Serikali
- The Status of JerusalemPDF (159 KB), United Nations document related to the recent dispute over Jerusalem
- Basic Law: Jerusalem, Capital of Israel, Government of Israel, the Israeli law making Jerusalem the capital of Israel
Historia
- Israel Museum, one of Jerusalem's premier art museums
- Yad Vashem Archived 4 Februari 2016 at the Wayback Machine., Israeli memorial to victims of The Holocaust
Elimu
- Hebrew University of Jerusalem, Jerusalem's foremost institution of higher learning
- al-Quds University, the only Palestinian university in Jerusalem
Ramani
- Modern-day map of Jerusalem, from City of Jerusalem.
- Ancient Maps of Jerusalem Archived 11 Aprili 2006 at the Wayback Machine., from the Jewish National Library at the Hebrew University of Jerusalem
- Modern maps, post-1947 Archived 16 Juni 2008 at the Wayback Machine. from PASSIA
- Maps of Jerusalem Archived 24 Oktoba 2016 at the Wayback Machine., from Israel Star News
Dini
- The significance of Jerusalem in Judaism Archived 24 Septemba 2015 at the Wayback Machine., NSW Jewish Board of Deputies
- The significance of Jerusalem to Christians, International Christian Embassy Jerusalem
- The City of Jerusalem in Islam Archived 19 Agosti 2015 at the Wayback Machine.
- BBC: Why is Jerusalem so Holy?
Makala hii kuhusu maeneo ya Asia bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Yerusalemu kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |