Jesus Ducapel Moloko

Jesus Ducapel Moloko, (alizaliwa 24 Desemba, 1997) ni mchezaji wa soka kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC).

Anacheza kama mshambuliaji wa upande wa kulia na pia anaweza kucheza kama mshambuliaji wa upande wa kushoto. Kabla ya kujiunga na klabu ya Young Africans S.C., Moloko alikuwa akichezea klabu ya AS Vita huko DRC[1].

Tanbihi

hariri
  1. CV ya Jesus Moloko wa Yanga | Player Profile Yanga Sc. https://wasomiajira.com/cv-ya-jesus-moloko-wa-yanga-player-profile/16/08/2021/ Ilihifadhiwa 26 Machi 2024 kwenye Wayback Machine..
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jesus Ducapel Moloko kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.