Jim Matt (alizaliwa 18 Januari, 1964) ni mwimbaji wa muziki wa country. Matt alisainiwa na Little Dog Records mwaka 1993 na akatoa albamu yake ya All My Wild Oats mwaka 1995.[1][2]

Marejeo

hariri
  1. Matt Ready to Sow His "wild oats", by Larry Leblanc, Billboard, March 25, 1995, 31.
  2. "Saying ‘I Do’ on a Sudbury stage". Northern Life, June 28, 2011.
  Makala hii kuhusu mwanamuziki fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jim Matt kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.