Kilis

(Elekezwa kutoka Jimbo la Kilis)

Kilis ni mji uliopo kusini-katikati mwa nchi ya Uturuki katika mpaka wa nchi ya Syria. Huu ni mji mkuu wa Jimbo la Kilis. Kwa mujibus wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2000, mji ulikadiriwa kuwa na wakazi wapatao 70,000. Mji upo katika kimo cha mita 663 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Kilis
Wilaya za Kilisi

Viungo vya NjeEdit

Majiranukta kwenye ramani: 36°42′58″N 37°06′54″E / 36.7161°N 37.1150°E / 36.7161; 37.1150  Makala hii kuhusu maeneo ya Uturuki bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Kilis kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.