Jimbo la Nile ya Juu, Sudan

Makala hii inahusu jimbo la Sudan. Kuhusiana na mto, tazama Nile

Majiranukta kwenye ramani: 29°32′N 32°40′E / 29.533°N 32.667°E / 29.533; 32.667


Upper Nile

Nile ya Juu (Kiing.:Upper Nile, Kar. أعالي النيل a'ala an-nil) ni moja ya majimbo (wilayat) 10 ya Sudan Kusini. Malakal ndio mji mkuu wa jimbo hili.

Gavana wa sasa ni Gatluak Deng Garang. Mto wa Nile Nyeupe unapitia hapa. Lina ukubwa wa eneo la 22,122 km² na wakaazi wanaokadiriwa kuwa 4,700,000 (2000). Mji wa Kodok, ambao ndio mahala pa Matukio ya Fashoda yaliyomaliza mashindano ya wakoloni kugawa Afrika , uko katika jimbo hili.

Vituo vya zamani vya mishonari katika jimbo la Upper Nile ni pamoja na Dolieb Hill,Lul na Detwoc.

Tazama piaEdit

  Makala hii kuhusu maeneo ya Afrika bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jimbo la Nile ya Juu, Sudan kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.