Jimbo la São Paulo

São Paulo ni jina la kutaja jimbo huko nchini Brazil. Hili ndiyo jimbo kubwa kupita majimbo yote na ndiyo jimbo pekee lenye viwanda vingi na kukuza uchumi wa Brazil. Mji mkuu wake ni São Paulo.

Megacity, São Paulo
Mahali pa São Paulo katika Brazil

Tazama pia hariri

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu Jimbo la São Paulo kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.