Eneo bunge la Horr Kaskazini


Eneo bunge la Horr Kaskazini ni mojawapo ya Majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Jimbo linapatikana katika Kaunti ya Marsabit, Mashariki mwa nchi. Eneo lote la jjimbo hili linapatikana katika eneo la baraza la utawala wa mitaa la Marsabit County.

Jamhuri ya Kenya

Makala hii imepangwa kwa mfululizo:
Siasa na serikali ya
Kenya



Nchi zingine · Atlasi

Historia hariri

Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 1988.

Wabunge hariri

Uchaguzi Mbunge [1] Chama Vidokezo
1988 Bonaya Godana KANU Mfumo wa Chama Kimoja
1992 Bonaya Godana KANU
1997 Bonaya Godana KANU
2002 Bonaya Godana KANU Godana aliaga dunia katika ajali ya ndege wakati akihudumu.
2006 Ukur Yattani Narc-Kenya Uchaguzi Mdogo
2007 Francis Chachu Ganya ODM

Kata na Wodi hariri

Kata
Kata Idadi ya watu*
Balesa Ririba 5,215
Bubisa 3,541
Dukana 6,660
Galas 4,000
Hurii hills 3,373
Illeret 5,045
Kalacha 7,937
Maikona 7,092
North horr 7,715
Turbi 1,800
Jumla x
*Hesabu ya 1999.
Wodi
Wodi Wapiga Kura waliojisajili
Bubisa 2,886
Dukana 4,188
Hurri Hills 1,269
Illeret 681
Kalacha 2,023
Maikona 2,165
North Horr 4,421
Jumla 17,633
*Septemba 2005 [2].

Tazama Pia hariri

Marejeo hariri