Eneo bunge la Masinga
(Elekezwa kutoka Jimbo la Uchaguzi la Masinga)
Eneo bunge la Masinga ni moja kati ya Majimbo 290 ya Uchaguzi nchini Kenya. Ni moja kati ya majimbo nane katika Kaunti ya Machakos. Jimbo hili lina wodi saba, zote zikiwachagua madiwani kwa baraza la Masaku County.
Jamhuri ya Kenya |
Makala hii imepangwa kwa mfululizo: |
|
Nchi zingine · Atlasi |
Historia hariri
Jimbo hili lilianzishwa wakati wa Uchaguzi mkuu wa 1988.
Wabunge hariri
Uchaguzi | Mbunge | Chama | Vidokezo |
---|---|---|---|
1988 | Simon Kitheka Kiilu | KANU | Mfumo wa Chama Kimoja |
1992 | Ronald John Kiluta | KANU | |
1997 | Ronald John Kiluta | KANU | |
2002 | Benson Itwiku Mbai | NARC | |
2007 | Benson Itwiku Mbai | ODM-Kenya |
Kata na Wodi hariri
Kata | |
Kata | Idadi ya Watu |
---|---|
Ekalakala | 12,406 |
Ikaatini | 7,424 |
Kangonde | 15,971 |
Kithyoko | 17,821 |
Kivaa | 18,797 |
Mananja | 11,754 |
Masinga | 18,186 |
Muthesya | 14,145 |
Ndithini | 13,466 |
Jumla | 129,970 |
Wodi | |
Wodi | Wapiga Kura Waliojiandikisha |
---|---|
Ekalakala / Ikaatini | 6,787 |
Kangonde | 5,135 |
Kithyoko | 5,617 |
Kivaa | 6,116 |
Masinga | 6,067 |
Muthesya | 4,484 |
Ndithini / Mananja | 8,005 |
Jumla | 42,211 |
*Septemba 2005
|
Tazama Pia hariri
Tanbihi hariri
Makala hii kuhusu maeneo ya Kenya bado ni mbegu. Je unajua kitu kuhusu Eneo bunge la Masinga kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni? Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |