João Pessoa ni jina la mji mkuu wa jimbo la Paraíba katika Brazil. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2008, mji una wakazi wapatao milioni 1.1 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 40 kutoka juu ya usawa wa bahari.

Maeneo mbalimbali ya mji,João Pessoa


João Pessoa
Nchi Brazil
Kanda Northeast
Jimbo Paraíba
Idadi ya wakazi
 - Wakazi kwa ujumla 702,235
Tovuti:  www.joaopessoa.pb.gov.br
Wikimedia Commons ina media kuhusu:
Makala hii kuhusu maeneo ya Brazil bado ni mbegu.
Je unajua kitu kuhusu João Pessoa kama historia yake, biashara, taasisi zilizopo, watu au utamaduni?
Labda unaona habari katika wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.