Jodel D.11

Picha ya Jodel D.11

Jodel D.11 ni aina ya ndege iliyotokea Ufaransa yenye sehemu mbili za kukalia.

Iliundwa na kuendelezwa na Société Avions Jodel.

Watengenezaji, Édouard Joly na Jean Délémontez hutegemea kubuni kwenye miradi yao katika kutengeneza ndege hii.

Viungo vya njeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu: