Joel Millanguir
Joel Millanguir Ancavil ni askofu wa Anglikana kutoka kwa kabila la asili la Chile. Yeye ni askofu wa pili wa dayosisi ya Araucanía katika Kanisa la Anglikana la Chile.[1]
Marejeo
hariri- ↑ "How Indigenous Conflicts in Chile Ended up Targeting Christians", Christianity Today, February 7, 2024.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |