John Abruzzi
John Abruzzi ni jina la kutaja uhusika wa katika kipindi cha televisheni cha Kimarekani cha Prison Break. Uhusika huu ulichezwa na Peter Stormare. Huyu ni mhusika mkuu katika mfululizo, lakini alitambulika akiwa kama mnyapara wa jela ya Fox River State Penitentiary. Huyu yupo sawa tu na Theodore Bagwell, ni adui kidogo wa wale wahusika wakuu wa mchezo huu, ingawa alionekana kukawisha maswali ya mwandada Veronica Donovan aliyokuwa akiyafanya juu ya upelelezi wake kwenye vipengele vya usoni.
Uhusika wa Prison Break | |
---|---|
John Abruzzi | |
Mwonekano wa kwanza: | Pilot |
Msimu: | 1,2 |
Imechezwa na: | Peter Stormare |
Familia: | ana mtoto wa kiume na wakike (majina yao hayajulikani) |
Mahusiano: | Sylvia Abruzzi (Mke wake) |
Viungo vya nje
hariri- John Abruzzi's biography Ilihifadhiwa 18 Agosti 2007 kwenye Wayback Machine. at Fox.com