John Babiiha
John Babiiha (17 Aprili 1913 – Machi 1982) alikuwa mwanasiasa wa Uganda, mfugaji na mkulima. Alikuwa makamu wa rais wa kwanza wa jamhuri ya Uganda chini ya bunge la wananchi wa Uganda ambalo liliongozwa na Apollo Milton Obote.[1][2]
Marejeo
hariri- ↑ URN. "Former VP Babiiha's house turned into church". The Observer - Uganda (kwa Kiingereza (Uingereza)). Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2022-12-03. Iliwekwa mnamo 2022-03-02.
- ↑ "Uganda's Vice Presidents over the years: John Babiiha". New Vision (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2022-03-02.
Makala hiyo kuhusu wanasiasa wa Uganda bado ni mbegu. Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |