John H. Knox alikuwa ripota maalum wa kwanza wa Umoja wa Mataifa kuhusu haki za binadamu na masuala ya mazingira akihudumu kuanzia 2012 hadi 2018.[1]

Knox kwa sasa ni Profesa wa sheria ya Kimataifa katika chuo kikuu cha Wake Forest.

Marejeo hariri

  1. "John H. Knox". Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2019-09-11. Iliwekwa mnamo 2022-05-14. {{cite web}}: Unknown parameter |dead-url= ignored (|url-status= suggested) (help)