John Hasbrouck Van Vleck (13 Machi 189927 Oktoba 1980) alikuwa mwanafizikia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza nadharia ya atomu, na usumaku. Mwaka wa 1977, pamoja na Philip Anderson na Nevill Mott alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Fizikia.

John Van Vleck
Makala hii kuhusu mwanasayansi fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Van Vleck kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.