John Knox Bokwe

Mwanahabari wa Souh African, kasisi na mwanamuziki

John Knox Bokwe (1855 - 1922) alikuwa mchungaji wa kikristo, mwandishi na mtungaji wa muziki wa Afrika Kusini. Aliandika kuhusu mambo ya kidini katika lugha yake ya Kixhosa. Pia alikuwa mhariri wa magazeti mawili, The Kafir Express na Isigidimi samaXhosa. Mwaka wa 1914 Bokwe alitolea wasifu yake, Ntsikana: The Story of an African Convert.

John Knox Bokwe

Angalia pia

hariri

Marejeo

hariri
  • Chapman, Michael. 2003. Southern African Literatures, University of Natal Press. ISBN 1-86914-028-1
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu John Knox Bokwe kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.