John Paul Magalle Shibuda

(Elekezwa kutoka John Magale Shibuda)

John Paul Magalle Shibuda (amezaliwa 23 Februari, 1950) ni mbunge wa jimbo la Maswa katika bunge la kitaifa huko nchini Tanzania.[1] Anatokea katika chama cha CCM.

Tazama pia hariri

Marejeo hariri

  1. "Mengi kuhusu John Paul Magalle Shibuda". 25 Aprili 2006. Ilihifadhi kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2011-10-26. Iliwekwa mnamo 11 Novemba 2011.