John McAreavey
John McAreavey (aliyezaliwa 2 Februari 1949 huko Banbridge, County Down) alikuwa Askofu Mkatoliki wa Dromore kutoka 1999 hadi 2018.
Maisha ya awali
haririJohn McAreavey alizaliwa huko Drumnagally, Banbridge mwaka wa 1949. Alikuwa mtoto wa kiume John na Mary McAreavey (wote wamekufa). Ana dada wawili na kaka wawili. Alipata elimu yake ya msingi katika Shule ya Ballyvarley na kisha Shule ya Msingi ya Abbey, Newry. Alipata elimu yake ya sekondari katika Chuo cha Mt Colman's, Newry. Septemba 1966 aliingia Chuo cha Mt Patrick, Maynooth ambapo mwaka 1969.
Marejeo
hariri- ↑ Bishop John McAreavey, Catholic-Hierarchy.org
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |