Jordan Semedo Varela (alizaliwa 15 Januari 2003)[1][2] ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka Ufaransa, ambaye anacheza kama beki katika klabu ya Cercle Brugge inayoshiriki ligi kuu ya Ubelgiji akitokea AS Monaco kwa mkopo .

Marejeo

hariri
  1. "Jordan Semedo naar Cercle Brugge". cerclebrugge.be (kwa Kifaransa). Iliwekwa mnamo 2024-06-17.
  2. https://fdp.fifa.org/assetspublic/ce89/pdf/SquadLists-English.pdf
  Makala hii kuhusu mchezaji mpira fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jordan Semedo kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.