Jorge Antônio de Oliveira Francisco ni wakili wa Brazil na afisa wa zamani wa polisi.Jorge Antônio de Oliveira Francisco ndiye aliyekua Katibu Mkuu wa Rais wa Jamhuri ya Brazil.[1] Tarehe 20 Oktoba mwaka 2020, Jorge Oliveira alithibitishwa na Baraza la Seneti la Shirikisho kurithi nafasi ya uwaziri iliyokua ikimilikiwa na ndugu José Múcio aliyestaafu tarehe 31 Disemba

Marejeo hariri

  1. Sadi, Andréia; Mazui, Guilherme (21 June 2019). "Jorge Antonio de Oliveira Francisco vai assumir a Secretaria-Geral da Presidência" (kwa Kireno). G1. Iliwekwa mnamo 21 June 2019.  Check date values in: |date=, |accessdate= (help)
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Jorge Oliveira kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.