José Manuel de Herrera
José Manuel de Herrera (27 Machi 1776 – 17 Septemba 1831) alikuwa padre wa Kanisa Katoliki, mwandishi, mwanasiasa na profesa kutoka Mexico. Aliungana na waasi wakati wa Vita vya Uhuru vya Mexico.
Aliongoza gazeti la Correo Americano del Sur, lililokuwa na mchango muhimu katika kueneza mawazo ya uhuru na mabadiliko ya kisiasa.[1]
Marejeo
hariri- ↑ Henríquez Ureña, Pedro (1985). "José Manuel de Herrera. Escritor político y religioso". Antología del Centenario. Mexico: Universidad Nacional Autónoma de México. ISBN 968-837-513-6.
Makala hii bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari. |