José Sócrates Carvalho Pinto de Sousa (amezaliwa 6 Septemba 1957) ni mwanasiasa kutoka nchi ya Ureno. Yeye ni Waziri Mkuu wa Ureno tangu 12 Machi 2005.

José Sócrates

Angalia Pia hariri

  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu José Sócrates kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.