Jonathan Aoso (maarufu kwa jina lake la kisanii Josco boy; alizaliwa katika Kambi ya Wakimbizi Nyarugusu[1], 28 Mei 2009) ni msanii wa kurekodi wa bongo Flava kutoka Tanzania.

Josco Boy
Jina la kuzaliwa Jonathan Aoso
Pia anajulikana kama Josco boy
Amezaliwa 28 Mei 2009 (2009-05-28) (umri 14)
Asili yake Mtanzania
Kazi yake Mwanamuziki
Aina ya sauti vocal
Miaka ya kazi 2020- Present

Kazi hariri

Alianza kazi yake ya muziki mnamo 2020 akiwa na umri wa miaka 11 huku akiuza Miwa.[2]

Diskografia hariri

Nyimbo na Albamu Zinazovuma hariri

  • 2022: Napendwa
  • 2022: Moyo Unauma
  • 2022: A Boy from Africa

Marejeo hariri

  1. "Josco Boy". FilmFreeway (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-04-09. 
  2. "Josco Boy's profile - Pianity". pianity.com (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2023-04-09.