Joseph G. Hanefeldt

Joseph Gerard Hanefeldt (amezaliwa Creighton, Nebraska, Aprili 25, 1958) ni Kiongozi kutoka Marekani wa Kanisa Katoliki. Amekuwa askofu huko Nebraska tangu 2015.

Wasifu

hariri

Joseph Hanefeldt alizaliwa nwa Helen na Adolph Hanefeldt. Ana kaka wawili na dada mmoja. Alihudhuria Shule ya Kikatoliki ya Mt. Ludger na kisha shule ya upili katika Shule ya Umma ya Creighton, na kuhitimu mwaka wa 1976.[1] [2]

Marejeo

hariri
  1. "Bishop Joseph G. Hanefeldt". Catholic Diocese of Grand Island (kwa Kiingereza). Iliwekwa mnamo 2024-03-16.
  2. "Grand Island priest arrested for sexual assault". KSNB (kwa Kiingereza). 2019-01-04. Iliwekwa mnamo 2024-03-17.
  Makala hii bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Mkristo huyu, kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Je, unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuiongezea habari.