Josephine Joseph Lagu

Josephine Joseph Lagu ni Mwanasiasa kutoka nchi ya Sudani Kusini na pia ni Waziri wa Kilimo na Usalama wa Chakula mpaka hapo mwaka 2022.[1][2] Yeye ni binti wa Joseph Lagu.[3]

Marejeo hariri