Joshua Kutuny

Mwanasiasa wa Kenya

Joshua Serem Kutuny (alizaliwa 1978) ni mwanasiasa wa Kenya ambaye amekuwa mwanachama katika bunge la Taifa la Kenya katika jimbo la uchaguzi la Cherangany.[1]

Marejeo

hariri
  1. "Members Of The 10th Parliament". Parliament of Kenya. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2008-07-01. Iliwekwa mnamo Juni 19, 2008.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)