Joshua Nassari

(Elekezwa kutoka Joshua Samwel Nassari)

Joshua Samwel Nassari ni Mwanasiasa wa chama cha CHADEMA nchini Tanzania na alikuwa mbunge katika jimbo la Arumeru Mashariki tangu 2012 mpaka 2019.[1]

Joshua Nassari

Marejeo

hariri

</reference>

  1. "Member of Parliament CV". Bunge la Tanzania. 2010. Ilihifadhiwa kwenye nyaraka kutoka chanzo mnamo 2013-11-03. Iliwekwa mnamo 2017-05-06. {{cite web}}: Text "imeandaliwa Mei 2017" ignored (help)