Joy Nakhumicha Sakari
Joy Nakhumicha Sakari (alizaliwa Chepkoya, Kenya, 6 Juni 1986) ni mwanariadha wa Kenya ambaye ni mtaalamu wa mbio za mita 400. Aliwakilisha Kenya katika Michezo ya Olimpiki ya Majira ya joto ya mwaka 2012.[1][2]
Siku moja baada ya kuboresha rekodi ya Kenya katika Mashindano ya Dunia mwaka 2015, alifeli majaribio ya dawa za kusisimua misuli.[3]
Marejeo
haririMakala hii kuhusu Mwanariadha wa Kenya bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Joy Nakhumicha Sakari kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |