Joyce Bagala ni mwanahabari na mwanasiasa wa Uganda.

Bagala Joyce Ntwatwa

Aliwahi kuwa meneja wa habari katika Next Media, NBS televisheni.[1][2] Katika uchaguzi mkuu wa 2021, akigombea kupitia tiketi ya National Unity Platform, alichaguliwa kuwa Mwakilishi wa Wanawake wa Wilaya ya Mityana kwa kipindi cha 2021-2026.[3]

Marejeo

hariri
  1. "Top women in the media". www.newvision.co.ug. Iliwekwa mnamo 27 Juni 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  2. "Joyce Bagala "threatens" to sue NBS TV over dismissal". Nile Post (kwa American English). 6 Mei 2019. Iliwekwa mnamo 27 Juni 2020.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  3. Godfrey Lugaaju (18 Januari 2021). "Four journalists set to grace the 11th parliament". PML Daily.{{cite web}}: CS1 maint: date auto-translated (link)
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Joyce Bagala kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.