Juan Martín de Pueyrredón

Juan Martín de Pueyrredón y O'Dogan (alizaliwa 18 Desemba 177713 Machi 1850) alikuwa jenerali na mwanasiasa wa Argentina mwanzoni mwa karne ya 19. Aliteuliwa kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mikoa ya Muungano ya Río de la Plata baada ya Tamko la Uhuru la Argentina.[1]

Marejeo

hariri
  1. Martín de Pueyrredón Gobernó Salta por 30 días[dead link] Kigezo:In lang
  Makala hii kuhusu mwanasiasa fulani bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Juan Martín de Pueyrredón kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.