Judi Bari
Mwanamazingira wa Marekani
Judith Beatrice Bari (Novemba 7, 1949 - Machi 2, 1997) alikuwa mwanamazingira na mratibu mkuu wa kampeni ya Earth First! dhidi ya ukataji wa miti katika misitu ya kale ya kaskazini mwa California katika miaka ya 1980 na 1990.
Judi Bari | |
---|---|
Amezaliwa | Judith Beatrice Bari Novemba 7, 1949 |
Utaifa | American |
Watoto | 2, including Lisa Bari |
Ndugu | Gina Kolata (sister) |
Marejeo
haririMakala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Judi Bari kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |