Judo (jap. 柔道 jūdō) aina ya michezo ya mapigano kutoka nchini Japan iko pia kati ya michezo ya Olimpiki.[1] Ilianzishwa mwaka 1882 na Jigorō Kanō.[2]

Mashindano ya Judo

Judo ni mchezo wa kifalsafa unaoathiriwa na mafundisho ya Ubuddha. kati ya misingi yake si kumshambulia mpinzani lakini kutumia nguvu ya mpinzani kw kumshinda.[3]

HistoriaEdit

Judo ilianzishwa kwenye msingi wa mchzo wa mapigano ya kale zaidi inayoitwa Jujutsu.[4]

Jujutsu ilikuwa mchezo wa makabaila na askari wa Japani ya Kale iliyofundisha kumshinda mpinzani hadi kumwua. Kano aliondoa sehemu hatari akaunda Judo.

Kurasa husikaEdit

MarejeoEdit

  1. Nussbaum, Louis-Frédéric. (2005). "Judo" in Japan Encyclopedia, p. 435.
  2. Nussbaum, "Kanō Jigorō " at p. 477.
  3. Ohlenkamp, Neil. "Forms of Judo (Kata)," JudoInfo.com; retrieved 2012-2-27.
  4. Nussbaum, "Jū-jutsu" at p. 435.

Viungo vya NjeEdit

Wikimedia Commons ina media kuhusu: