Julienne Lusenge

Mwanaharakati wa haki za wanawake namtu mashuhuri wa Jamhuri yaKidemokrasia ya Kongo

'

Julienne Lusenge
Julienne Lusenge
Kazi yakeMwanaharakati wahaki zawanawake


Julienne Lusenge ni mwanaharakati wa haki za binadamu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo anayejulikana kwa kusimama upande wa waathiriwa wa unyanyasaji wa kingono wakati wa vita. Yeye ni mwanzilishi mwenza na Rais wa Female Solidarity for Integrated Peace and Development (SOFEPADI) na mkurugenzi wa Congolese Women's Fund (FFC).

Alitunukiwa Tuzo ya Haki za Wanawake ya Kimataifa ya Mwaka 2018 kutoka Geneva Summit for Human Rights and Democracy na Tuzo ya Ginetta Sagan ya Mwaka 2016 kutoka Amnesty International. Julienne alipokea Tuzo ya Haki za Binadamu kutoka Ubalozi wa Ufaransa na kutangazwa kuwa Mshujaa wa Heshima wa Legion of Honour na Serikali ya Ufaransa. Pia, mwaka 2021, alitunukiwa Tuzo ya Wanawake wa Kimataifa wa Ujasiri.[1]

Tanbihi

hariri
  Makala hii kuhusu mtu huyo bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Julienne Lusenge kama wasifu wake, habari za maisha au kazi yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.