Julius Kipyegon Kones

Mwanasiasa wa Kenya

Julius Kipyegon Kones (alizaliwa 1972) ni mwana-takwimu na mwanasiasa kutoka Kenya. Anahudumu kama mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi[1] katika shirika la kitaifa la uhifadhi wa maji na mabomba.

Marejeo

hariri
  1. "Chairman". www.watercorporation.go.ke (kwa Kiingereza (Uingereza)). Iliwekwa mnamo 2017-08-31.